sometimesyes JF-Expert Member Joined Dec 5, 2017 Posts 360 Reaction score 288 Sep 30, 2018 #1 Habari wadau Nna mpango wa kufanya biashara ya vyombo vya mtumba,nalenga kuchukua bidhaa kutoka Zanzibar,naomba many connection au hata ushauri kwa mwenye uzoefu na biashara husika,asanteni.
Habari wadau Nna mpango wa kufanya biashara ya vyombo vya mtumba,nalenga kuchukua bidhaa kutoka Zanzibar,naomba many connection au hata ushauri kwa mwenye uzoefu na biashara husika,asanteni.
DeepPond JF-Expert Member Joined Nov 18, 2017 Posts 41,728 Reaction score 103,997 Oct 1, 2018 #2 Mm mwnyw naiona fursa hapa
Beeb JF-Expert Member Joined Aug 18, 2018 Posts 29,394 Reaction score 59,069 Oct 1, 2018 #3 Wanakuja wazoefu
General Mangi JF-Expert Member Joined Dec 21, 2013 Posts 15,303 Reaction score 23,064 Oct 1, 2018 #4 Biashara kwasasa ni yakutoa vitu tz kupeleka nje,
N ngwere96 Member Joined May 16, 2019 Posts 44 Reaction score 16 Aug 10, 2019 #5 Njoo nina uzooefu na connection
Qurie JF-Expert Member Joined Aug 9, 2015 Posts 3,644 Reaction score 3,880 Aug 10, 2019 #6 Tupe report mkuu
Logikos JF-Expert Member Joined Feb 26, 2014 Posts 15,460 Reaction score 24,233 Aug 10, 2019 #7 ngwere96 said: Njoo nina uzooefu na connection Click to expand... aje wapi ?