Biashara ya vyombo vya Nyumbani (vyombo vya udongo, plastiki n.k)

Biashara ya vyombo vya Nyumbani (vyombo vya udongo, plastiki n.k)

Vee lovie

Member
Joined
Jul 31, 2021
Posts
74
Reaction score
115
Wazoefu wa hii biashara ya vyombo vya nyumbani tunaomba mtupe madini kuhusiana na hii biashara, kuanzia mtaji, mahali bidhaa zinakopatikana kwa bei ya jumla, faida zake, changamoto za hii biashara. Michango ya mawazo yenu pls [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Ni biashara nzuri sana na inalipa sana muhimu ni wewe uanze, mtaji wake kuanzia elfu 50000 unaanza.
 
Back
Top Bottom