Hi guys habari, naomba mwenye kujua lolote juu ya biashara ya vyombo vya plastic ivi vinavyouzwa mitaani Kwa Bei ndogo kabisa ,Kuna mtu anahitaji kufanya lakini hajui A B C D zake, yupo dar ,
Huuzwaje Kwa Bei ya jumla, vinapatikana wapi na faida yake ipoje? Hua naona watu wakiuza Hadi bukubuku kwahiyo huchukua Kwa bei gani? Asante na karibuni Kwa maoni yenu wakuu