KUNGUNIMSOMI
Senior Member
- Sep 8, 2013
- 181
- 191
Mkuu nipo sehemu ambayo wasaka vyuma chakavu hawapiti mara kwa mara pengineUnaishi sehmu gani ya hii nchi mkuu?mbona huku kwetu yameshatokea hayo mambo kitambo sana,na sehemu nyingi zimebaki magofu kwaajili ya vyuma chavu,waulize TRL na TAZARA ndio wanajua hayo machungu..
Hii biashara hatari sana inachochea uharibifuWanunuzi viwandani wanaogopa vyuma vya reli ukukutwa msala wake utawapa watu hella ya buree ila vinapita kimagumashi