Biashara ya Vyuma chakavu na makopo ya plastic!

Biashara ya Vyuma chakavu na makopo ya plastic!

Phinenicke

Member
Joined
Nov 21, 2014
Posts
15
Reaction score
3
Habari za leo wanajamvi.
Nina malengo ya kuanzisha biashara ya kununua chuma chakavu na makopo ya plastic. Naomba mwenye uelewa wa hii biashara anisaidie mawazo yake na mchanganuo wa hii biashara.
Nipo mbezi Luis Dar
 
Mimi nnachojua tu ni kwamba Plastiki ni Tsh 350 Kwa Kilo. ndio kuna sehemu wananunua hvyo. kuhusu vyuma chakavu sijawa na Uzoefu sana.
 
Biashara ya vyuma chakavu inakwenda kupigwa marufuku kwa hiyo weka mkazo kwenye biashara ya plastic..
 
Back
Top Bottom