Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Noma sana nilikuwa naizarau hii kuna mjomba angu anafanya afu anahela kinoma huwa ananiambia sina biashra nyingine zaid hiii nakuaga simuamini ila mchanganuo huu ntaanza kumwamini anasomesha watoto wake nje wapo wawili kwa mwaka ana anawalipia milion 165 aiseeNi biashara nzuri yenye faida kubwa..
Kupata vibali vyote kwa maramoja ni ishu inayohitaji pesa ndefu.. Hivyo unaweza kuanza na leseni ya biashara kwanza na mtaji wa milion kumi kwa mchanganuo wa
Eneo/godown (Kodi)
Mizani kubwa na ndogo (optional)
Vitendea Kazi (kama panga, spana mitarimbo,gloves, gumboots, overroll nk)
Wafanyakazi (kwa kuanzia wawili)
Vitu vya ku deal navyo
Chuma cchakavu
Chuma dongo
Battery mbovu/cchakavu
Mabaki ya Aluminium nk
Changamoto kubwa
Mizigo ya wizi
Mizigo ya kuchomekewa
Kutapeliwa pesa nk
Bei za sokoni
Chuma chakavu tani Inaenda mpaka 1.1M
Aluminium waste tani moja 5.5M
Maswali zaidi niulize
ni biashara nzuri kwani wewe kazi yako ni kupokea mzigo kukagua na kulanguaNoma sana nilikuwa naizarau hii kuna mjomba angu anafanya afu anahela kinoma huwa ananiambia sina biashra nyingine zaid hiii nakuaga simuamini ila mchanganuo huu ntaanza kumwamini anasomesha watoto wake nje wapo wawili kwa mwaka ana anawalipia milion 165 aisee
inakugharimu sh ngapi, kukusanya tani moja ya chuma chakavu au tani moja ya alluminium?Ni biashara nzuri yenye faida kubwa..
Kupata vibali vyote kwa maramoja ni ishu inayohitaji pesa ndefu.. Hivyo unaweza kuanza na leseni ya biashara kwanza na mtaji wa milion kumi kwa mchanganuo wa
Eneo/godown (Kodi)
Mizani kubwa na ndogo (optional)
Vitendea Kazi (kama panga, spana mitarimbo,gloves, gumboots, overroll nk)
Wafanyakazi (kwa kuanzia wawili)
Vitu vya ku deal navyo
Chuma cchakavu
Chuma dongo
Battery mbovu/cchakavu
Mabaki ya Aluminium nk
Changamoto kubwa
Mizigo ya wizi
Mizigo ya kuchomekewa
Kutapeliwa pesa nk
Bei za sokoni
Chuma chakavu tani Inaenda mpaka 1.1M
Aluminium waste tani moja 5.5M
Maswali zaidi niulize