mickey.T JF-Expert Member Joined Jun 1, 2014 Posts 482 Reaction score 83 Apr 7, 2016 #1 Kwa wale wanaohitaji kujiingiza katika biashara hii, natoa ushauri bure kabisa, mtaji wake ni mdogo sana ila marejesho ni makubwa. Kwa kuanzia Laki 400 tu kwa mwaka, unaweza kuanzisha biashara hii, si lazima uwe na utaalamu wa hali ya juu
Kwa wale wanaohitaji kujiingiza katika biashara hii, natoa ushauri bure kabisa, mtaji wake ni mdogo sana ila marejesho ni makubwa. Kwa kuanzia Laki 400 tu kwa mwaka, unaweza kuanzisha biashara hii, si lazima uwe na utaalamu wa hali ya juu
uzeebusara JF-Expert Member Joined Apr 15, 2013 Posts 657 Reaction score 514 Apr 7, 2016 #2 'biashara hii' ndiyo biashara ya aina gani? Elezea biashara aina hii mtaji wake kama ulivyosema 4k na maelezo yake then ndiyo tutake ushauri
'biashara hii' ndiyo biashara ya aina gani? Elezea biashara aina hii mtaji wake kama ulivyosema 4k na maelezo yake then ndiyo tutake ushauri