M2flan JF-Expert Member Joined Jun 27, 2013 Posts 584 Reaction score 293 Oct 28, 2024 #21 Kalaga Baho Nongwa said: Umeona hizo yebo hapo juu nimeweka?. Click to expand... Ah! Nimeelewa
M Masyani Member Joined Nov 17, 2023 Posts 5 Reaction score 7 Oct 29, 2024 Thread starter #22 Nami nimeelewa ufafanuzi mzuri.
Kalaga Baho Nongwa JF-Expert Member Joined Sep 27, 2020 Posts 9,953 Reaction score 23,150 Oct 29, 2024 #23 Viatu vingi hasa vya kike ni range ya 3200 hadi 4500 kwenye katoni, ambayo inakua na viatu 24 au 36. Lakini yebo ndo zipo za chini ya 3500 nyingine 1800 lakini vinakaa 60 kwenye kiroba. So discussion inaweza kuwa ndefu kidogo kuanzia hapa Masyani said: Nami nimeelewa ufafanuzi mzuri. Click to expand... M2flan said: Ah! Nimeelewa Click to expand...
Viatu vingi hasa vya kike ni range ya 3200 hadi 4500 kwenye katoni, ambayo inakua na viatu 24 au 36. Lakini yebo ndo zipo za chini ya 3500 nyingine 1800 lakini vinakaa 60 kwenye kiroba. So discussion inaweza kuwa ndefu kidogo kuanzia hapa Masyani said: Nami nimeelewa ufafanuzi mzuri. Click to expand... M2flan said: Ah! Nimeelewa Click to expand...