Biashara ya YouTube channel (V Blogger)

Biashara ya YouTube channel (V Blogger)

Bborion

Member
Joined
May 20, 2019
Posts
63
Reaction score
41
Habari za Kazi wajuzi,

Mimi naomba kufaham faida za hii business (Biashara ya YouTube channel/V Blogger). Mimi nataka nifanye kwa kutoa masomo ( Mathematics tutorials for college students)

Karibuni wajuzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi naona bora Blog, youtube inacost sana kuanzia uandaaji wa video edition kupost,

Trngeneza blog yako nunu domain name, weka nondo za mathematics, baada ya muda omba adsence upewe matangazo upige mkwanja
 
Iko poa mkuuu njoo nikuuzie chanel yangu ya youtube ina subscribers 6600 yaani 6.60k inaelekea kutimiza 7k yaani 7000 pia ina matangazo ya adsence tayar na kuna dora kadhaa zinasoma kweny dashboard, mimi nina majamnga nataka ndio maana nimeamua kuuza maana kimfaacho mtu chake kwa yeyote atakae hitaji anitafute 0756 695846
 
Shukrani mkuu, vipi naweza kufanya pia kwa kutumia website?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iko poa mkuuu njoo nikuuzie chanel yangu ya youtube ina subscribers 6600 yaani 6.60k inaelekea kutimiza 7k yaani 7000 pia ina matangazo ya adsence tayar na kuna dora kadhaa zinasoma kweny dashboard, mimi nina majamnga nataka ndio maana nimeamua kuuza maana kimfaacho mtu chake kwa yeyote atakae hitaji anitafute 0756 695846
Ok shukrani mkuu

Channel bado ipo?
 
Back
Top Bottom