Shukrani mkuu, vipi naweza kufanya pia kwa kutumia website?Mimi naona bora Blog, youtube inacost sana kuanzia uandaaji wa video edition kupost,
Trngeneza blog yako nunu domain name, weka nondo za mathematics, baada ya muda omba adsence upewe matangazo upige mkwanja
Ok shukrani mkuuIko poa mkuuu njoo nikuuzie chanel yangu ya youtube ina subscribers 6600 yaani 6.60k inaelekea kutimiza 7k yaani 7000 pia ina matangazo ya adsence tayar na kuna dora kadhaa zinasoma kweny dashboard, mimi nina majamnga nataka ndio maana nimeamua kuuza maana kimfaacho mtu chake kwa yeyote atakae hitaji anitafute 0756 695846
Channel bado ipo?Iko poa mkuuu njoo nikuuzie chanel yangu ya youtube ina subscribers 6600 yaani 6.60k inaelekea kutimiza 7k yaani 7000 pia ina matangazo ya adsence tayar na kuna dora kadhaa zinasoma kweny dashboard, mimi nina majamnga nataka ndio maana nimeamua kuuza maana kimfaacho mtu chake kwa yeyote atakae hitaji anitafute 0756 695846