Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo Zanzibar kuna Jumuiya zinauza zao hilo na kulima kwa wingi.
Sio mzoefu wa mambo ya bei,nikipata nitakujulisha
Mkuu mimi ninao mwani kiasi cha kutosha tu kama kuna soko unalijua kwa Dsm naomba unijuze tafadhaliNjoo Zanzibar kuna Jumuiya zinauza zao hilo na kulima kwa wingi.
Sio mzoefu wa mambo ya bei,nikipata nitakujulisha
Mimi nishawahi kufanya hii biashara mafia zao hilo lipo sna tu hko .....changamoto kubwa nliyokutana nayo mpaka nkaachana nayo ilikuwa kwenye bei wakati huo kilo moja ilikuwa 250 kuuuza ila kwa sasa sjui bei imesimamajeNaomba kwa mwenye uelewa wa wapi na kwa bei gani zao la Mwani linapatikana kwa hapa Tanzania,natanguliza
shukrani zangu kwa wanajamiiforum wenzangu ahsanteni.