Biashara ya zao la MWANI

NKONKO

Member
Joined
Jun 4, 2014
Posts
25
Reaction score
13
Naomba kwa mwenye uelewa wa wapi na kwa bei gani zao la Mwani linapatikana kwa hapa Tanzania,natanguliza

shukrani zangu kwa wanajamiiforum wenzangu ahsanteni.
 
Njoo Zanzibar kuna Jumuiya zinauza zao hilo na kulima kwa wingi.
Sio mzoefu wa mambo ya bei,nikipata nitakujulisha
 
Njoo Zanzibar kuna Jumuiya zinauza zao hilo na kulima kwa wingi.
Sio mzoefu wa mambo ya bei,nikipata nitakujulisha
Mkuu mimi ninao mwani kiasi cha kutosha tu kama kuna soko unalijua kwa Dsm naomba unijuze tafadhali
 
Naomba kwa mwenye uelewa wa wapi na kwa bei gani zao la Mwani linapatikana kwa hapa Tanzania,natanguliza

shukrani zangu kwa wanajamiiforum wenzangu ahsanteni.
Mimi nishawahi kufanya hii biashara mafia zao hilo lipo sna tu hko .....changamoto kubwa nliyokutana nayo mpaka nkaachana nayo ilikuwa kwenye bei wakati huo kilo moja ilikuwa 250 kuuuza ila kwa sasa sjui bei imesimamaje

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…