Biashara yaa fine beans Ulaya

Biashara yaa fine beans Ulaya

mor112

Member
Joined
Mar 6, 2010
Posts
16
Reaction score
0
Naomba kuuliza ushauri, nafikiria kuanza biashara yaa fine beans kwa kuu export to London Uk, nimeshapataa wateja wanaotaka kununua hizi fine beans, Kitu muhimu ni lazima good quality,
Naombeni ushauri wowote jinsi yaa kupata good reliable suppliers in Tanzania.


Thanks in advance
 
Hongera kwa kupata soko dogo ............... ni PM tuongee vizuri zaidi.
 
Back
Top Bottom