Mkuu bei kwa gramu ikoje huko?? Asilimia yake ikoje??Mkuu hii kazi, karibu nyamongo tarime kuna biashara hii na itawahi kukutoa kimaisha kwani inapatikana kwa wingi kila siku ya Mungu.MTAJI_katiya 10 mpaka 20 milion tzs. Material zote za kuchenjulia zinapatikana kiulaini. Soko hupatikana dakika kumi baada ya kumaliza pros's za uandaaji.