Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wachezaji walicheleweshewa passports zao hapa ilikuwa waondoke kitambo ,wamekuja kupata passport Jana mchana ikabidi waondoke jioni kupitia Ethiopia .Walifika leo asubuhiIlikuaje wakafika masaa machache kabla ya mechi ? .. anyway hongera biashara united ..
Hapo nimekupata, shukrani ..Wachezaji walicheleweshewa passports zao hapa ilikuwa waondoke kitambo ,wamekuja kupata passport Jana mchana ikabidi waondoke jioni kupitia Ethiopia .Walifika leo asubuhi
Wamepambana sanaTimu ya Biashara United imefanikiwa kuifunga timu ya Dikhil ya Djibouti kwa 0-1 .
Biashara iliyochelewa kuwasili nchini humo ilifika Djibouti leo Alfajiri na kuibuka na ushindi kwenye mechi iliyoanza saa kumi na mbili jioni.
Kama kawaida ya uhamiaji. Hawajali hata dharura?Wachezaji walicheleweshewa passports zao hapa ilikuwa waondoke kitambo ,wamekuja kupata passport Jana mchana ikabidi waondoke jioni kupitia Ethiopia .Walifika leo asubuhi
Hahahaa wazee wa kapumbu.Afadhali ya hawa...kuna watu J'pili wanaenda kuliaibisha taifa.
Mkuu wachezaji wa kibongo ni wazembe ,wachezaji wa hizi timu ndogo kuna wengine hawana hata passport ,wengine kuomba kuapply tu hata passport za express unakuta hawana hata vitambulisho vya NIDA,afadhali wachezaji wa Simba ,Yanga na Azam wamezoea kusafiriKama kawaida ya uhamiaji. Hawajali hata dharura?
Asanteni biashara tupo pamoja.Timu ya Biashara United imefanikiwa kuifunga timu ya Dikhil ya Djibouti kwa 0-1 .
Biashara iliyochelewa kuwasili nchini humo ilifika Djibouti leo Alfajiri na kuibuka na ushindi kwenye mechi iliyoanza saa kumi na mbili jioni.
Kukosa vitambulisho vya NIDA ni kosa la NIDA wenyewe. Wengi wamefatilia na kuambulia namba, wengi pia wamekata tamaa. NIDA kuna tatizo.Mkuu wachezaji wa kibongo ni wazembe ,wachezaji wa hizi timu ndogo kuna wengine hawana hata passport ,wengine kuomba kuapply tu hata passport za express unakuta hawana hata vitambulisho vya NIDA,afadhali wachezaji wa Simba ,Yanga na Azam wamezoea kusafiri