Biashara yaifunga Dikhil ya Djibouti goli moja

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,420
Reaction score
18,298
Timu ya Biashara United imefanikiwa kuifunga timu ya Dikhil ya Djibouti kwa 0-1 .
Biashara iliyochelewa kuwasili nchini humo ilifika Djibouti leo Alfajiri na kuibuka na ushindi kwenye mechi iliyoanza saa kumi na mbili jioni.
 
Kama kawaida ya uhamiaji. Hawajali hata dharura?
Mkuu wachezaji wa kibongo ni wazembe ,wachezaji wa hizi timu ndogo kuna wengine hawana hata passport ,wengine kuomba kuapply tu hata passport za express unakuta hawana hata vitambulisho vya NIDA,afadhali wachezaji wa Simba ,Yanga na Azam wamezoea kusafiri
 
Haka katimu watu wanakachukulia poa lakini kako vizuri sana.
 
Timu ya Biashara United imefanikiwa kuifunga timu ya Dikhil ya Djibouti kwa 0-1 .
Biashara iliyochelewa kuwasili nchini humo ilifika Djibouti leo Alfajiri na kuibuka na ushindi kwenye mechi iliyoanza saa kumi na mbili jioni.
Asanteni biashara tupo pamoja.
 
Kukosa vitambulisho vya NIDA ni kosa la NIDA wenyewe. Wengi wamefatilia na kuambulia namba, wengi pia wamekata tamaa. NIDA kuna tatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…