malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,913
- 4,695
Hapa mkoani nilipo Nina baba yangu mkubwa ana ALPHAD Sasa gari yake huwa wanataka sana watu kiukodi ila yeye hataki,Namwanae huwa Niko nae gari unakuta anapigiwa sm nawatu wanahitaji gari kwenda dar mbeya,au wanamgonjwa ila mshkaji akipimgia Mzee wake Mzee anakataa anasema gari kanunua kwa ajili yake sio biashara,ukiangalia Mzee mwenyewe hata Hela yakuweka mafuta sometime hana,anakataa sababu wanae huwa wanampa Hela ndogo wakishapata mteja wakupelekwa safarWazo zuri, lakini unamfanyia nani? Maana matajiri wana magari yao, na walala hoi wataona bei yako ni kubwa, inabidi uwe na connection ya maana sana.
Inalipa kama utaendesha mwenyeweWakuu ushauri wenu tafadhali nataka kununua gari aina ya ALPHAD kwa ajili ya biashara yakuwakodishia watu wenye safar zakifamilia kama kwenda kwenye harusi,misiba,shughuli binafsi,
Wazoefu hii biashara ikoje
Ilo nalo nenoInalipa kama utaendesha mwenyewe
Kama wewe utakuwa dereva sawa; la sivyo baada ya mwaka mmoja, gari itakuwa mkangafu.Wakuu ushauri wenu tafadhali nataka kununua gari aina ya ALPHAD kwa ajili ya biashara yakuwakodishia watu wenye safar zakifamilia kama kwenda kwenye harusi,misiba,shughuli binafsi,
Wazoefu hii biashara ikoje