Salamu wakuu, kama mada inavyo jieleza hapojuu. Ninampango wa kuanzisha duka dogo la pembejeo za kilimo kwa ujumla(kilimo na mifugo). Lengo la kuibuka hapa juukwani naomba kufahamishwa ",wapi kati ya maduka ya Arusha na Dar naweza pata bidhaa tajwa kwa bei nafuu" Nihayotu Natanguliza shukurani.