Hebu fikiria umeanzisha biashara ya kusafirisha maiti,mochwari binafsi,kuuza sanda na majeneza.
je ukienda katika maofisi na makampuni kwa ajili ya kufanya marketing utaanzaje ?
utawaambia ofa ulizo nazo ?
kwa mfano,duka la nguo,ukinunua mashati mawili unapewa kofia ya nyongeza na kuambiwa KARIBU TENA
Sa hapo kwenye biashara yako utawaambiaje wateja ?
dah aise