Habari wadau?
Hivi ni biashara au huduma gani naweza kuianzisha mwaka 2019 na baada ya miaka 5 ikakua na ikafaa na kizazi changu kijacho. Mtaji wangu mpaka June mwakani naweza kuwa na cash 20M , ila kila nikifikiria biashara za maduka naona kama sio endelevu, msaada kwa wazoefu wa huduma au biashara katika sekta yoyote ile . In short nahitaji kuanzisha biashara ambayo sio rahisi kufaa hata kama faida ni ndogo. Asanteni