Biashara za Kinondoni na sinza

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
12,706
Reaction score
52,355
Kinondoni studio na sinza fremu ya chini ni million 1

Lakini unakuta duka Lina nguo 10 na ukiingia ndani full kiyoyozi na nje mwenye duka kapaki ndinga ya maana

Mimi uwa najiuliza Hawa uwa wanafanya biashara gani pale na wanawezaje kulipa Kodi!!?
 
Kama kuna mtu anataka kuingiza pesa yake kwa mfumo aje tu kwangu, mimi nitampa a very systematic and proffesional way ambayo huna haja ya kupoteza muda na pesa za kodi kirahis rahis namna hiyo ambayo hata mtu asiyesoma anakushtukia mapemaa
 
Kinondoni studio na sinza fremu ya chini ni million 1

Lakini unakuta duka Lina nguo 10 na ukiingia ndani full kiyoyozi na nje mwenye duka kapaki ndinga ya maana

Mimi uwa najiuliza Hawa uwa wanafanya biashara gani pale na wanawezaje kulipa Kodi!!?
Uwiiiivuu....! Uwiiivuu...!
Sitoki na yeyote naulinda wangu moyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…