kuna tetesi kuwa badhi ya biashara zilizokuwa zinaendeshwa kwa mitaji ya EPA zimeanza kufunguwa
Hebu tuziangalie biashara za EPA ni zipi na je zitaendelea kuwepo?
Kituo cha BP Jamhuri Street kimetiwa kamba na kuna tetesi Morogoro stores nayo imetiwa kamba kuna ukweli wowote? wamiliki wa biashara zote hizi mbili wako mahakamani kwa EPA.
yule aliyekuwa anaendesha tenda ya kupaki gari airport nae yuko kitimoto anatembea na daladala siku hizi
umeweka mirror nini au permanent link kila ninachopost unafuatia