Biashara za mtandao

Biashara za mtandao

Neanne

Member
Joined
Apr 23, 2013
Posts
24
Reaction score
5
Habari wana jamvini,

Napenda kujua kama ni kweli hizi biashara za mitandao zinazofanywa na kampuni kama Forever Living na GNLD zinaweza kumkwamua mtu kimaisha.
 
tatizo wale jamaa hawakaagi humu. Time kwao is money.
Wangetupa majibu walau hata kiduchu.
Ngoja tuwasubiri
 
Yes yes yes...ni kweli inaweza mkwamua mtu kabisa, I have seen watu ninao wafaham wakibadilika, the issue is pata nafasi ya kuelezwa...jinsi mfumo unavyofanya kazi, kwa njia ya one to one presentation, au kwenye mikutano.
Inalipa only kama na wewe upo serious katika ratiba zako ulizopanga.
 
Back
Top Bottom