Biashara zangu 5 za wakati wote kwa hapa Dar es Salaam


Controla naomba uni pm mdau ili nipate mawasiliano, nahitaji muongozo tuinuane.
 
Hakuna banda lililobaki unikodishe mkuu.
 
1.2M Kwa banda moja, Minimum unaweza tengenezewa bei gani.
 
Mkuu kuna kitu nimekiona sehemu nahisi unaweza nisaidia kama kitakuwa ndani ya uwezo. Naomba kama hutojali nije pm kwako tuzungumze kidogo. [emoji120][emoji120]
 
Mkuu biashara ya gesi ikoje..maana Kuna mdau nidistributor kanifata kuwa Nifanye biashara nae anisambazie kwajumla Sasa Sina uzoefu nayo faida hasara na riski zake
ifanye kama mtaji unao,details za hii biashara muulize huyo distributor kwakua n rfk ako utaweza fahamu vingi toka kwake,usipomuelewa Ndio rudi tuulize swali ambalo unataka ufafanuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…