Biashara zangu 5 za wakati wote kwa hapa Dar es Salaam

Kama kawaida yako mkuu...Kwa kweli wewe ni master wa kuona yasiyoonekana Kwa wengi na kuyageuza kuwa fursa bomba! Ubarikiwe Kwa moyo wako mkuu wa kushare...ninaanza na Viungo.

Kama kuna aliyewahi fanya ABC tafadhali...au kama mkuu CONTROLA unaweza share nami uzoefu kidogo nitakushukuru saana mkuu.
 
Unataka kufahamu nini mkuu? kwanza ABC zote utazipata kwa muhussika anaefanya biashara husika ukiwa nae face to face yani namaanisha ukitaka fanya hii biashara nenda sokoni ukimkuta mtu anauza viungo Kaa chini nunua viungo kwake hata vya 5000,lengo lako si vile viungo lengo lako ni kumchimba akupe A B C.

elimu haitolewi bure kwahyo ile 5000 uliyomungisha itamfanya awe huru kukusimulia kila utakachohitaji,usipende na wala usikubali kupewa A B C na mtu ambae alishafanya biashara kama yako au hayupo eneo la biashara husika unayohitaji kupata A B C ukiwa pale ukiwa unaona vitu utamuuliza maswali atakujibu kwa theory na vitendo.

Nimekuandikia jibu refu hivi ili uinuke hapo ulipo na uende sokoni ukutane na mfanyabiashara wa hiyo biashara unayoitaka kaa nae mpge story kisha mwisho njooo Finalize hapa.
 
Shukrani mkuu nimekuelewa vema.
 
Unaw
Mkuu vipi kuhusu usimamizi, unawezaje kuhakikisha zote zinaenda vizuri ikiwa zipo sehem tofaut tofaut
 
Naweza kupata namm la kukodi??
 
Ni sahihi kabisa mkuu umechanganua vema biashara hizo kwa dar ni zenye tija lakini changamoto ni upatikanaji wa eneo sahihi mahali penye movement ili uweke ofisi
 
CONTROLA mkuu unahusudisha sana. unahasira na pesa kinoma. Hua unanipa moyo sana wa utafutaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…