Dr. Zaganza
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 1,414
- 2,181
Kwa kuwa miaka 40 wanaanza kuhesabu ni mzee, umepevuka, nami nimefika hapa ni muda wa kuwatia moyo wengine kwamba chochote unachokifanya,kifanye kwa moyo na akili yako yote ili kikupeleke hatua ya mbele yenye mafanikio zaidi. Pia nimegundua ukianza biashara hasa za kusafiri nje ya nchi, kubali kutumia muda na pesa kujua connection (nani mwenyeji wako anayeujua mji husika na machimbo , kampuni zipi zitasafirisha mzigo wako kwa uhakika na gharama na nafuu.
Maana nimeshuhudia watu wakichoma mitaji kwa habari za mitandaoni kisha wakaenda moja kwa moja).
Hizi hapa;
1. Miaka 7(1991): Kuuza makopo ya soda kwa wanunua screpa,mtaa wa mawenzi -Morogoro
2. Miaka 8: Kuuza mihogo na visheti vya walimu shule ,Mafiga primary, Morogoro
3. Miaka 9: Kuuza maandazi ya mama, Mazimbu -Morogoro
4. Miaka 10: Kuuza vitabu vya dini , Mazimbu -Morogoro
5. Miaka 11: Kuuza genge la familia, Mazimbu -Morogoro
6. Miaka 14: Kuuza mifuko ya rambo Soko kuu Morogoro(la zamani kabla halijabomolewa na kujengwa ghorofa)
7. Miaka 17: Kuuza vipuri (spear) -Kufata Dar na kuuza Morogoro
8. Miaka 24; Biashara ya stationary chuoni (TIA-kurasini)
9. Miaka 25: Kufundisha computer mtu kwa mtu (Morogoro mjini)
10. Miaka 26: Kuuza pakiti za ice cream na maji (Turiani,Dumila na Kibaigwa)
11. Miaka 27: Kufundisha ufugaji kuku kienyeji kwa njia ya kisasa (Vyuo vikuu Morogoro)
12. Miaka 30: Kufuga kuku wa kienyeji (Kaloleni -Moshi)
13. Miaka 31:Kufundisha utengenezaji Sabuni za kipande bila mashine (Dar es salaam)
14. Miaka 31: Wakala kuuza computer za Apple (all in one) na laptop (Dar es salaam)
15.Miaka 33 Kuanzisha taasisi ya ushauri wa afya na ngozi (Natural Skin Solution) -Kibaha
16.Miaka 37 Kuwasaidia kuwatembeza watanzania maeneo ya kibiashara nje ya nchi hasa Dubai na China
Hii kazi na kazi na kazi namba 15 napanga nizifanya kwa muda mrefu kadiri niwezavyo kwani ndo maeneo nimeyajua nje-ndani.