ween JF-Expert Member Joined Jul 20, 2016 Posts 414 Reaction score 129 Feb 3, 2017 #1 Habar ya asubuhi ndg zangu, leo ninaomba mnipe msaada wa wazo la biashara ambayobnikiifanya hapa mjini dar es salam nitafakiwa , nahitaj kufanya biashara pia naomba kufahamishwa jinsi ya kuendesha biashara hiyo soko la kunua na kuuzia a
Habar ya asubuhi ndg zangu, leo ninaomba mnipe msaada wa wazo la biashara ambayobnikiifanya hapa mjini dar es salam nitafakiwa , nahitaj kufanya biashara pia naomba kufahamishwa jinsi ya kuendesha biashara hiyo soko la kunua na kuuzia a
Kanungila Karim JF-Expert Member Joined Apr 29, 2016 Posts 20,743 Reaction score 25,564 Feb 3, 2017 #2 Uza maji ya baridi masokon na vocha kwa cku utapata hata 10000