Biashara ZinazoTrend.

Biashara ZinazoTrend.

ms_shylo

Member
Joined
May 25, 2013
Posts
62
Reaction score
26
Watanzania wenzangu tujifunze kuchukua fursa zilizopo.Mfano mzuri ni Patrick Ngowi the under 30 Tanzanian billionare.Aliona fursa juu ya renewable energy,ambayo hata united nations na mataifa Makubwa wanaipromote since it is environmental friendly etc.Hadi akaenda kusomea.Recently things like Carbon Market have even courses introduced in universities.Kuna biashara ambazo zinakuja kulingana na mahitaji ya mda wenzetu wanachukua fursa wanaenda kusomea na Kuja kuzifanya hapa kwetu wenyeji tunabaki tunashangaa.Tujifunze kuangalia fursa zilizopo na si kulaza akili kwenye biashara zile zile Kila siku kama Nguo,n.k
 
biashara km zpi sasa.?

namaanisha biashara za aina hiyo kama renewable energy sources I.e solar panels.Au carbon market,biashara zinazokuja kulingana na mahitaji ya binadam kwa mda huo I mean as the world advances.Tujifunze kujua nini kinahitajika kwa mda huo and take further steps to learn about them.
 
Wafadhili mara nyingine, labda kwa makusudi wana manipulate soko hivyo kutoa picha tofauti ya soko uzalishaji na uhitaji.
m.f. Mapori mengi yangekua na thamani zaidi yakilimwa, kujengwa makazi au viwanda kuliko kuuza hewa ya ukaa kama inavyoshauriwa na wafadhili. Mtazamo wangu, tuwe makini tunapoitathmimi miradi yenye mkono wa serikali au wafadhili maranyingi ushawishi wao unatengua uzania wa biashara husika.
namaanisha biashara za aina hiyo kama renewable energy sources I.e solar panels.Au carbon market,biashara zinazokuja kulingana na mahitaji ya binadam kwa mda huo I mean as the world advances.Tujifunze kujua nini kinahitajika kwa mda huo and take further steps to learn about them.
 
The true business is the noe you visionalise and having the willingness to do it. hizi za kuiga you can not move with it
 
The true business is the noe you visionalise and having the willingness to do it. hizi za kuiga you can not move with it

I don't mean watu waige,I am just trying to show people other oportunities available since not every one is exposed to them,and one could develop an interest and willingness to do them after they know about them.Anyways wote tunafikra na uelewa tofauti but lets not be negative on everything.
 
Back
Top Bottom