ms_shylo
Member
- May 25, 2013
- 62
- 26
Watanzania wenzangu tujifunze kuchukua fursa zilizopo.Mfano mzuri ni Patrick Ngowi the under 30 Tanzanian billionare.Aliona fursa juu ya renewable energy,ambayo hata united nations na mataifa Makubwa wanaipromote since it is environmental friendly etc.Hadi akaenda kusomea.Recently things like Carbon Market have even courses introduced in universities.Kuna biashara ambazo zinakuja kulingana na mahitaji ya mda wenzetu wanachukua fursa wanaenda kusomea na Kuja kuzifanya hapa kwetu wenyeji tunabaki tunashangaa.Tujifunze kuangalia fursa zilizopo na si kulaza akili kwenye biashara zile zile Kila siku kama Nguo,n.k