Biashara zinazoweza kufanywa na mwanachuo

Biashara zinazoweza kufanywa na mwanachuo

El murjeb

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2019
Posts
483
Reaction score
2,126
Jamani naombeni ushauri kuhusu biashara anayoweza kufanya mwanachuo bila kuharibu utaratibu wake wa kawaida wa masomo
 
unaenda kusoma kozi gn????? socialogy....hr au education???? ila kama unaenda kusoma unataka ufauru mzuri kasome kwanza biashara baadae
 
Jamani naombeni ushauri kuhusu biashara anayoweza kufanya mwanachuo bila kuharibu utaratibu wake wa kawaida wa masomo
Karibu kwenye ulimwengu wa ujasiriamali kijana.

Kama mwanachuo unaweza kufanya Biashara zifuatazo. Kuuza earphones, wanachuo wengi wana smartphons na laptos hivyo huitaji earphones kwa privacy ya mambo yao. Earphones za Sony,NEC kwa bei ya jumla ni 3500-4000. Kuuza ni 6000-8000.

Kuuza flash. Bei ya jumla GB 4 5k , GB 8 7K, GB 16 12k, GB 32 18k.

Nunua printer. HP inkjet 100k . Fanya kazi ya kuprint, kutoa copy n.k
 
Back
Top Bottom