Kama mwanachuo unaweza kufanya Biashara zifuatazo. Kuuza earphones, wanachuo wengi wana smartphons na laptos hivyo huitaji earphones kwa privacy ya mambo yao. Earphones za Sony,NEC kwa bei ya jumla ni 3500-4000. Kuuza ni 6000-8000.
Kuuza flash. Bei ya jumla GB 4 5k , GB 8 7K, GB 16 12k, GB 32 18k.
Nunua printer. HP inkjet 100k . Fanya kazi ya kuprint, kutoa copy n.k