Biashara zipi hazina kodi

mwanyaluke

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2015
Posts
704
Reaction score
2,435
Nipo wilayani nafanya biashara 2.moja Ni ya kununua na kuuza mifugo, hakika sijawahi lipa Kodi, 2. Biashara ya chuma chakavu hii ina usumbufu mwingi, vibali polisi , rushwa , kutishwa tishwa, nataka kuacha niambie Ni biashara nyingine ipi ipo free from tax nifanye
 
Magendo, Kuuza unga au ndaga, uchuuzi wa housegirls, udalali wa viwanja na nyumba, kilimo cha bangi, kuchoma chpsi na mishikaki, mama ntilie, etc
 
Kujiuza i mean kama we mwanamke kuuza Mbunye.
 
Wewe sio mfanyabiashara, bali mtafuta riziki. Mfanyabiashara anaelewa kabisa kuwa kodi ni sehemu ya biashara, hivyo atatafuta namna ya kupunguza kodi.
 
Kuwa supplier wa majeneza mkuu
Juzi nimepitia sehemu wanauza majeneza, kuangalia wauzai wamenyong'ontea kama ishara ya kukosa wateja. Kimoyo moyo nikawa najisemea hivi wale wakipo watakuwa wanatamani watu wade Ili wapate wateja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…