Biashara zipi zinafaa kufanya kutoka Zanzibar kuja Dar es salaam?

natra

Member
Joined
Sep 27, 2017
Posts
12
Reaction score
4
Naskia kuna baadhi ya biashara ukitoa zanzibar kuleta bongoland..zinalipa saana...n pia kuna biashara ukitoa bongoland kupeleka zanzbr kuna faidaa...ninaomba kujuzwa juu ya hilii kwa yeyote anaefahamu...juu ya aina ya biashara.....mtaji wa kuanzia etc....nawasilisha asanteni.
 
Kutoka Zanzibar kuja Dar

1. Used electronic e.g TV, Radio, Computer etc
2. Ubuyu. hii hasa kwa kina dada
3. Karafuu.
4. Kuna mavazi kama kanzu za oman
5. Magari ya mtumba kama una mtaji mkubwa.

Kutoka Dar kwenda Zanzibar

1. Bidhaa za mbao e.g madawati, mbao zenyewe n.k
2. Bidhaa za vyakula e.g nyanya , vitunguu n.k
3. Wanyama eg mbuzi, kondoo, kuku n.k
4. Mayai ya kuku wa kisasa
5. Maindi, mchele, maharage n.k

Nimeandika kwa kifupi. Ila kama una swali lingine uliza
 
Asante..nimeelewa
 
Mfano hii biashara ya tv..radio..computer used mtaji kianzio kama sh ngapi
 
Back
Top Bottom