Biashara zipi zinafanya vizuri (zinalipa sana) mkoa wa Dar?

Biashara zipi zinafanya vizuri (zinalipa sana) mkoa wa Dar?

Mimi mstaarabu

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2020
Posts
262
Reaction score
577
Habari,

Kama inavyojulikana mkoa wa Dar es Salaam ndio mkoa mkubwa kwa biashara.ukianzisha biashara yoyote inatoka ila kuna kuzidiana.

Thread hii ni ya kusuggest biashara zinazotoka sana na zinalipa sana kwa Dar es Salaam.

~ Uuzaji wa chipsi (chakula kizuri) kwa ujumla.
~ Uuzaji wa nguo (za wadada).
~ Urembo (vipodozi).
~ Urembo wa kucha na kupambwa kwa ujumla.
~ Udalali.
~ Jenga uza.
~ Viatu vya mtumba na viatu vya dukani ila vya wadada.
~ Mapochi ya kina dada.
~ Saloon kwa ujumla hasa ya kina dada.
~ Usafirishaji wa mizigo mkoani.
~ Hardware.
~ Ufundi kushona kwasababu dar wengi wanapenda shughuli hivo kuvaa ni kwa sana tu.
~ Boda boda na bajaji.
~ Vifaa vya shule na stationery kwa ujumla.
~ Uuzaji wa matunda.
~ Uuzaji wa miwaaa.
 
"Oya oya kaa ukijua starehe gharama
Oyaaaaaaaaaah kaa ukijua kwamba"
Hili nalo mkalitizame
 
Dar uza dawa za nguvu za kiume

Miezi mitatu tu wewe ni tajiri
 
Back
Top Bottom