Biashara

Biashara

Ihwa jnr

Member
Joined
Feb 4, 2014
Posts
19
Reaction score
14
Nina mtaji wa pesa kiasi kadhaa na niko huku mkoani Kagera, Natafuta mtu anayeweza kupata kwa urahisi vifaa vya electronics used au mpya km vile simu,Laptops,Lcds nk nahitaji mtu huyo tuweze kufanya biashara ya kutumiana pesa na mzigo..Awe tiari kufanya katika bei iliyo atleast ili tupate faida sote.Aliye tiari anaweza kuni PM email adress yake au No ya cm
 
Naomba nikuhakikishie kwamba walio tayari ni wengi sana kuliko wenye uwezo wa kufanya hiyo biasaha!

Tangazo lako ni hatari sana!
 
wavivu wakufikir na kupambana na mishe zao utawajua tuu...wanataka kulia juu ya mgongo wa wenzake
 
Tatizo la electronics profit margin ndogo alafu usumbufu wa wateja after sales inaweza ikakugharimu.., unamuuzia mtu laptop leo anakupigia simu baada ya miaka miwili akilalamika ulimuuzia feki mbona battery haikai..

Anyway kwa ushauri wangu accessories za computer zina faida zaidi, au kama upo Kagera jaribu pia kucheki Uganda; pia wingi wa low quality fake Chinese products zimefanya hii shughuli kuwa ngumu
 
Sio kila mtu humu ni mwizi aliye serious ani pm cm yake au email adress
 
Back
Top Bottom