Bibi ahukumiwa miaka 99 jela kwa makosa ya utapeli

Hustler
 
Huyu hakuna deal.chafu hajawahi kufanya halafu ana connection kubwa sana hapa town.
Kaka yake Balozi kassim aliyekuwa balozi wa tz france. Anatokea ukoo wenye umaarufu among wazaramo.

Huko ccm alikuwa na cheo tawini upanga. Na hii adhabu wamempa ili kumsaidia atatoka haraka sana. Bibi wa mipango huyu.

Namfananidha na hayati mchungaji Getrude Lwakatare kwa willpower yao ya kujitafuta mpaka kujipata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…