Bibi mwenye umri wa takriban miaka 80 aitwaye Mwanahamisi Salimu Mtari (Bibi Keja) alipotea Jumatatu tarehe 21.10.2024 kata ya Mindu mtaa wa Mikoroshini nyumbani kwa mwanaye majira ya saa 11 jioni. Ana tatizo la kupoteza kumbukumbu kwa sababu ya umri wake.
Alikuwa amevaa gauni la bluu isiyokolea (light blue-draft), kitenge cha kijani, na alikuwa amefunga kitambaa chenye rangi za nyeupe na bluu (kama anavyoonekana kwenye picha ya chini).
Atakayemuona awasiliane nasi kwa namba 0680282030 (mwanaye) au 0754810303 (mwanaye) au atoe taarifa kituo cha polisi alicho karibu nacho.
JF tunaomba msaada wa kusambaziwa taarifa hii.
Tulitoa taarifa Kituo Kikuu cha Polisi Morogoro MOR/RB/9658/2024 ya tarehe 22.10.2024.