BIbi Chausiku Mussa(75) aliposhindwa kuzuia hisia zake JANGWANI

NGULI

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2008
Posts
4,801
Reaction score
643

BIbi Chausiku Mussa(75) aliposhindwa kuzuia hisia zake na kuanza kucheza wimbo wa 'Alamba' ambao ni wimbo wa taarabu uliokuwa ukiporomoshwa na Mzee Yussuf wa kundi la Jahazi juzi kwenye uzinduzi wa kampeni za CCM.
 
Inabidi TAKUKURU wafanye kazi yao huyu bibi hiyo kofia amenunua au kapewa ndo hongo zenyewe hizo.
Hata hilo gagulo na mkwaju
 
Inabidi TAKUKURU wafanye kazi yao huyu bibi hiyo kofia amenunua au kapewa ndo hongo zenyewe hizo.
Hata hilo gagulo na mkwaju

hivi mkuu alamba ina maanisha nini? iliingiaje kwenye kampeni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…