Bibi harusi huyu noma!

Bibi harusi huyu noma!

millen

Member
Joined
May 18, 2011
Posts
41
Reaction score
5
imebaki wiki moja afunge ndoa cha kushangaza anamegwa na jamaaa mwingine kabisa. kila cku jamaa anatinga kitaa anakula mzigo huku bwana harusi mtarajiwa akisubiri kwa hamu ndoa! ukweli tabia hii mbaya na inatukera majirani!!! au ndo tabia ya wahaya wote!!!
 
sasa jameni, kosa la huyo bibi harusi linahusianaje na sie wahaya wengine?
agggggggghhh
 
imebaki wiki moja afunge ndoa cha kushangaza anamegwa na jamaaa mwingine kabisa. kila cku jamaa anatinga kitaa anakula mzigo huku bwana harusi mtarajiwa akisubiri kwa hamu ndoa! ukweli tabia hii mbaya na inatukera majirani!!! au ndo tabia ya wahaya wote!!!

Mkanye aache huo mchezo
 
ulianza vizuri lakini umekuja kuniudhi mwishoni kwenye kutaja kabila
umalaya ni wa huyo dada si wa Kihaya!!!!!!!!!!!
umenielewa??????????
siku nyingine ukirudia nakupa CRAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAP!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
imebaki wiki moja afunge ndoa cha kushangaza anamegwa na jamaaa mwingine kabisa. kila cku jamaa anatinga kitaa anakula mzigo huku bwana harusi mtarajiwa akisubiri kwa hamu ndoa! ukweli tabia hii mbaya na inatukera majirani!!! au ndo tabia ya wahaya wote!!!

Ni kweli ni tabia mbaya sana na inakera sana,..ila hapo kwenye wahaya ebu subiri kidogo nikitoka tutaongea vizuri
 
imebaki wiki moja afunge ndoa cha kushangaza anamegwa na jamaaa mwingine kabisa. kila cku jamaa anatinga kitaa anakula mzigo huku bwana harusi mtarajiwa akisubiri kwa hamu ndoa! ukweli tabia hii mbaya na inatukera majirani!!! au ndo tabia ya wahaya wote!!!

Yaani ingekuwa ni heri kama ungeenda kumwambia huyo bibi harusi, ukamuonya aache hiyo tabia mbaya. Kuleta hapa naona kama ni umbea hivi....i am sorry to say that.
 
siku hizi wanaolewa ili kuenda na ratiba ya jamii..

kama kwenda shule,ukimaliza unatafuta kazi,halafu kuolewa etc etc
 
Ni hilo tu au kuna jingine. Nahisi kama kuna jambo ulitaka kusema!?
 
Yaani ingekuwa ni heri kama ungeenda kumwambia huyo bibi harusi, ukamuonya aache hiyo tabia mbaya. Kuleta hapa naona kama ni umbea hivi....i am sorry to say that.

Kweli mamii coz sidhani kama tutakayosema hapa yatamsaidia huyo bibi harusi au bwana harusi
 
imebaki wiki moja afunge ndoa cha kushangaza anamegwa na jamaaa mwingine kabisa. kila cku jamaa anatinga kitaa anakula mzigo huku bwana harusi mtarajiwa akisubiri kwa hamu ndoa! ukweli tabia hii mbaya na inatukera majirani!!! au ndo tabia ya wahaya wote!!!

umejuaje bwana harusi anasubiri kwa hamu ndoa?
 
imebaki wiki moja afunge ndoa cha kushangaza anamegwa na jamaaa mwingine kabisa. kila cku jamaa anatinga kitaa anakula mzigo huku bwana harusi mtarajiwa akisubiri kwa hamu ndoa! ukweli tabia hii mbaya na inatukera majirani!!! au ndo tabia ya wahaya wote!!!
Watake wahaya wote radhi plz
 
imebaki wiki moja afunge ndoa cha kushangaza anamegwa na jamaaa mwingine kabisa. kila cku jamaa anatinga kitaa anakula mzigo huku bwana harusi mtarajiwa akisubiri kwa hamu ndoa! ukweli tabia hii mbaya na inatukera majirani!!! au ndo tabia ya wahaya wote!!!
Una uhakika gani kwamba bwana harusi mtarajiwa yeye hawamegi wengine huko lala salama?
 
imebaki wiki moja afunge ndoa cha kushangaza anamegwa na jamaaa mwingine kabisa. kila cku jamaa anatinga kitaa anakula mzigo huku bwana harusi mtarajiwa akisubiri kwa hamu ndoa! ukweli tabia hii mbaya na inatukera majirani!!! au ndo tabia ya wahaya wote!!!
mwambieni... sio mnalalama tu
 
imebaki wiki moja afunge ndoa cha kushangaza anamegwa na jamaaa mwingine kabisa. kila cku jamaa anatinga kitaa anakula mzigo huku bwana harusi mtarajiwa akisubiri kwa hamu ndoa! ukweli tabia hii mbaya na inatukera majirani!!! au ndo tabia ya wahaya wote!!!

mkuu hiyo ni nature uwezi futa maji yawe safi kwa kutumia grisi hata siku moja so yaani hata kumuweka hapa akishaolewa mwendo mdundo ni ngumu kuyasafisha hayo maji mpwa ya bkb
 
Back
Top Bottom