Jana jioni kulukuwa na uvumi ulioenea ktk mitandao mbalimbali kuwa Bibi Kidude amefariki dunia jana.
Akiongea na kipindi cha Super Mix kupitia simu ya msanii wa bongo flava, AT amesema ni kweli alilazwa na kuongezwa chupa mbili za maji, lakini kwa sasa ameisharuhusiwa na hali yake iko vizuri kabisa. Amesema kuwa wale waliovumisha habari hizo anamwachia Mungu awahukumu.
Duuuuh ina maana bibi Kidude hana simu mpaka leo hii! Ok, nashukuru kwa taarifa.
Kama kashazuliwa kufa basi kama si leo keshi tutasikia wanamzika