Bibi Kizee

Titus

Member
Joined
Jul 28, 2007
Posts
81
Reaction score
2
Mahakamani. Kijana wa miaka 22 anashitakiwa kumbaka bibi kizee wa watu.

Hakimu: Bibi hebu ieleze mahakama kilichotokea.
Bibi Kizee: Nimelala nyumbani kwangu usiku wa manane, Mlango unavunjiliwa mbali na anaingia huyu kijana, aliyesimama pale.
Hakimu: Endelea, Bibi.
Bibi Kizee: Si akanivua nguo zote nan alafu kunipanda.
Hakimu: Enhee!
Bibi Kizee: Akawa anakata kushoto, mimi kulia. Alidhani mimi bwege!
Hakimu: Enhee!
Bibi Kizee: Kila akikata, na mimi najibu!
Hakimu: Sasa tatizo lilokuleta hapa mahakamani ni nini?
Bibi Kizee: Ajenge ule mlango aliouvunja!

Hakimu Akabaki domo wazi.....
 

Weekend njema wana JF this is the "weekend story"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…