Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
nadhani sheria ni msumeno,Mahakama ya Wilaya ya Nyamagana Mkoani Mwanza imemhukumu Suzana Marwa, maarufu kama Maswi (78), kifungo cha miaka 30 jela baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kukutwa na bangi yenye uzito wa kilogramu 33.25.
Suzana alikamatwa Machi 29, 2026 katika eneo la Bugarika Kaskazini, baada ya Maafisa wa DCEA kufanya upekuzi nyumbani kwake na kukamata bangi iliyokuwa kwenye mifuko miwili na ndoo ya plastiki.
Katika hukumu, Hakimu Mkazi Mwandamizi Clement Tuji alieleza kuwa umri mkubwa wa Suzana ungestahili kuzingatiwa katika kumpunguzia adhabu, lakini Sheria inaweka kifungo cha lazima cha miaka 30.
Mahakama pia iliamuru bangi hiyo iteketezwe na fedha taslimu shilingi 195,000 zilizokamatwa zitaifishwe.
Huyo hakimu hana akiliMahakama ya Wilaya ya Nyamagana Mkoani Mwanza imemhukumu Suzana Marwa, maarufu kama Maswi (78), kifungo cha miaka 30 jela baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kukutwa na bangi yenye uzito wa kilogramu 33.25.
Suzana alikamatwa Machi 29, 2026 katika eneo la Bugarika Kaskazini, baada ya Maafisa wa DCEA kufanya upekuzi nyumbani kwake na kukamata bangi iliyokuwa kwenye mifuko miwili na ndoo ya plastiki.
Katika hukumu, Hakimu Mkazi Mwandamizi Clement Tuji alieleza kuwa umri mkubwa wa Suzana ungestahili kuzingatiwa katika kumpunguzia adhabu, lakini Sheria inaweka kifungo cha lazima cha miaka 30.
Mahakama pia iliamuru bangi hiyo iteketezwe na fedha taslimu shilingi 195,000 zilizokamatwa zitaifishwe.
Sheria hapa sio msumeno mbona kwa wale mapapa wala rushwa na mafisadi wakubwa msumeno haupiti kule. Hapa wanyonge ndo wanatesekanadhani sheria ni msumeno,
ni vizuri ikatekelezwa kama ilivyo ikiwa makosa yamethibitika pasina shaka
hakuna haja ya porojo na upotoshaji kwenye sheria gentleman na itapendeza zaidiSheria hapa sio msumeno mbona kwa wale mapapa wala rushwa na mafisadi wakubwa msumeno haupiti kule. Hapa wanyonge ndo wanateseka
Unajua huyo bibi ana maisha gani?
Siungi mkono bibi kuuza bangi. Ila umeshabikia kipumbavu sana.
Majinga mengi ya ccm ndio akili zenu hizi .nadhani sheria ni msumeno,
ni vizuri ikatekelezwa kama ilivyo ikiwa makosa yamethibitika pasina shaka
ithibitike pasinashaka una makosa,Majinga mengi ya ccm ndio akili zenu hizi .
Mkuu unakuwa unapoteza muda na nguvu kujibu hizo takataka za ccm!,Yakikiri tuna sheria mbovu maana yake yatakuwa yanasema yale mabunge mazwazwa yaliyojazana bungeni ni takataka,Hivyo linaona bora tu litetee ujinga kwasababu mule ndani yamejazana yote ni maccmSheria hapa sio msumeno mbona kwa wale mapapa wala rushwa na mafisadi wakubwa msumeno haupiti kule. Hapa wanyonge ndo wanateseka
Unajua huyo bibi ana maisha gani?
Siungi mkono bibi kuuza bangi. Ila umeshabikia kipumbavu sana.
Wewe ni mlaaniwa. Akili kisoda.nadhani sheria ni msumeno,
ni vizuri ikatekelezwa kama ilivyo ikiwa makosa yamethibitika pasina shaka