Bibi miaka 78 jela miaka 30 kisa bangi kilo 33.25

Tunapenda utawala wa haki na sheria but tunapenda kuchagua sheria itumike wapi na wapi,.kama bibi Muhalifu jela si haki yake??au umri leo ndio excuse ya mtu kuvunja sheria?let her rot in jail..
 
Legalize Marijuana.

View: https://youtu.be/-fGDbyQG7Y0?is=vZkTDRZMjJ8XYmAM
Legal Now


View: https://youtu.be/cDYQ0kqrrrg?is=8F2xd3ZNaDC0BYNl
 
nadhani sheria ni msumeno,
ni vizuri ikatekelezwa kama ilivyo ikiwa makosa yamethibitika pasina shaka
Kutokea Kenya Madawa ya kulevya Daraja kuu kueleka Sauzi na nchi zingine ni Tanzania.

Huyo jamaa yenu anajifanya hawaoni kina Clouds, Efm,wasafi na kina Spika Msela.
 
Kutokea Kenya Madawa ya kulevya Daraja kuu kueleka Sauzi na nchi zingine ni Tanzania.

Huyo jamaa yenu anajifanya hawaoni kina Clouds, Efm,wasafi na kina Spika Msela.
kwa faida ya wadau wa Jf,
nadhani ungeeleza kwa kina kirefu zaidi ingependeza zaidi gentleman 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…