Bibi wa miaka 68 abakwa na kulawitiwa kisa pombe

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Athanas Michael Masubo mwenye umri wa miaka 65 mkazi wa mtaa wa Kashishi kata Nyamhongolo wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza anashikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za kumbaka na kumlawiti bibi wa miaka 68 wakati wakinywa pombe aina ya Konyagi.

Kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza Wilbrod Mutafungwa amesema tukio hilo limetokea tarehe saba ya mwezi huu nyumbani kwa mwanaume huyo mtaa wa Kashishi kata ya Nyamhongolo wilaya ya Ilemela, ambapo inadaiwa bibi huyo alifika nyumbani kwa Athanas ambaye ni jirani yake, na kumkuta akinywa pombe aina ya Konyagi ndipo akakaribishwa na kisha wakaanza kunywa wote pombe hiyo.

Soma, Pia: Mwanza: Jeshi la Polisi latoa taarifa za uhalifu ikiwemo ulawiti na ubakaji pamoja na wanawake wanaojihusisha na ukahaba

Kamanda Mutafungwa amesema wakati wakiendelea kunywa pombe hiyo, ndipo Athanas akamuagiza binti wa kazi dukani kununua pombe nyingine ili waendelee kunywa na hapo akamshikia panga bibi huyo huku akimtishia kumuuwa, kisha akatumia mwanya huo kumuingilia kimwili kwa kumbaka na kumlawiti.

Kamanda Mutafungwa amesema baada ya tukio hilo bibi huyo alifanikiwa kukimbia na kutoa taarifa kwa jeshi la polisi ndipo uchunguzi ukaanza na Atanas kutiwa nguvuni na kuhojiwa.
 
Mwanaume wa miaka 65, na mmbibi wa miaka 68 sio ! Unatumia criteria gani kujua huyu ni mmbibi na huyu ni mmama? Vivyo hivo kwa namna gani unajua huyu ni mmbaba ama ni mmbabu ? Au mwanaume wa makamo ?
 
Athanas Michael Masubo mwenye umri wa miaka 65 mkazi wa mtaa wa Kashishi kata Nyamhongolo wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza anashikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za kumbaka na kumlawiti bibi wa miaka 68 wakati wakinywa pombe aina ya Konyagi.

Kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza Wilbrod Mutafungwa amesema tukio hilo limetokea tarehe saba ya mwezi huu nyumbani kwa mwanaume huyo mtaa wa Kashishi kata ya Nyamhongolo wilaya ya Ilemela, ambapo inadaiwa bibi huyo alifika nyumbani kwa Athanas ambaye ni jirani yake, na kumkuta akinywa pombe aina ya Konyagi ndipo akakaribishwa na kisha wakaanza kunywa wote pombe hiyo.

Soma, Pia: Mwanza: Jeshi la Polisi latoa taarifa za uhalifu ikiwemo ulawiti na ubakaji pamoja na wanawake wanaojihusisha na ukahaba

Kamanda Mutafungwa amesema wakati wakiendelea kunywa pombe hiyo, ndipo Athanas akamuagiza binti wa kazi dukani kununua pombe nyingine ili waendelee kunywa na hapo akamshikia panga bibi huyo huku akimtishia kumuuwa, kisha akatumia mwanya huo kumuingilia kimwili kwa kumbaka na kumlawiti.

Kamanda Mutafungwa amesema baada ya tukio hilo bibi huyo alifanikiwa kukimbia na kutoa taarifa kwa jeshi la polisi ndipo uchunguzi ukaanza na Atanas kutiwa nguvuni na kuhojiwa.
Wasukuama ni kawaida yao,
 
Mbona hujamwita babu, maana umri wao unaendana!
 
Hahaha vituko haviishi Bongo, Yani mbakaji ana umri wa miaka 65, akambaka bibi ambaye umri wake ni miaka 68, lakini licha ya konyagi alizonyweshwa huyo bibi aliye bakwa, alifanikiwa KUKIMBIA? hahaha nilipaswa kushuhudia hili.

lakini Mbona wanalingana hao? Usikute ni wapenzi wa muda mrefu.

Lakini JEShi letu limekubuhu kwenye UCHUNGUZI, sina shaka.
 
Hamna kesi hapo mtamfunga huyo mzee bure tu mumpe ugali na maharage bure.
Hiyo ni blackmail tu,
Umekuja mwenyewe nimekukaribisha umekunywa pombe yangu badae nikubake kwa panga ili iweje wakati kuku kaja bandani mwenyewe.
Wote washazeeka.
Kuna mmoja anaomba sana mwaliko tukutane ila kawafunga watu wa3 nawajua namwogopa km kiberiti cha tanki la mafuta.
 
Back
Top Bottom