Bibi wa miaka karibu 70 anapolilia apigwe mtama!!

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
219,468
Reaction score
911,184
sipendi kuwa mchoyo wa elimu kwa hiyo acha niwapashe khabari kidogo..........lakini huyu bibi kule Kenya anapenda vijana wadogo wadogo wa kiume wampige mtama wa uhakika na huwalipa vizuri sana kama kazi yao imemridhisha na baadaye huwakinai na kuwatimua. Yupo tayari kufunga biashara zake akipata huduma stahiki...................na wakati mwingine huwafungia ndani waathrika wake kwa kipindi hivi akipata huduma ya uhakika...........................hata alisababisha kijana mmoja amkimbie mkewe kwa kuona mgawo wa mipesa ya huyu bi kizee........................

nisiwamalizie utamu wenye kuujua umombo someni kwa furaha na wale ambao hawaujui basi ridhikeni na hii dibaji yangu...............

Amorous granny with a love for young studs

baada ya kusoma hivi ukipata kizee au bibi au babu na ana mipesa ya kumwaga je utafukuzia ugali au utachunga heshima yako hata kama ni kulala na njaa?

hebu mnjibu nami nitaweelezea kilichoko moyoni mwangu kama ningelikuwa nimebanwa na huyu Bi kizee...........
 
mpendwa,

kwani tatizo ni nini hasa?

i am sorry, brother Ruta, i am doing my research, please indicate your research problem!!

God Bless you!

Glory to God!
 
Itabidi niende nikatembelee huko Nakuru, naweza nikabahatika kumlamba mtama

[MENTION]M-bongotz[/MENTION]............kwahiyo uko njia moja kuelekea nakuru lakini kumbuka akikuchoka anakutimua bila ya huruma hata chembe...........
 
mpendwa,

kwani tatizo ni nini hasa?

i am sorry, brother Ruta, i am doing my research, please indicate your research problem!!

God Bless you!

Glory to God!

Ms Judith ukimpata babu atayekusheheni vilivyo utaacha mbachao kwa msala upitao?
 
Last edited by a moderator:
Kabibi kaho Ruta kana pepo inabidi kaombewe,miaka sabini bado kanahitaji mtama!!!!!
 
Hivi GAZETI ukimpata Bi Kizee wa kukumwagia minoti utampapatikia au utainiga mitini?
Mkuu niko vizuri sana sina shida ya noti ni juzi tu nimepata jiwe la
dhahabu gram 500, kule Msumbiji bado sijatafuta mteja kwani sijui
soko liko wapi, hivi nikiuza unafikiri nitawaza tena juu ya mabibi wenye
fedha?
 
Habari nzuri kwa Almasi tena ukifikiria kidoti kamtema utasikia kesho kaenda kupiga show pande za huko
 
sijafungua hiyo link hivyo sijajua akipigwa mtama analipa kiasi gani, labda ningekata tiketi fasta.
 
Huyo Mzee anaelekea akufaidi Ujana wake ndio sababu ya kutusumbua Masheni zetu.
Hata hivyo natakakufanya safari ya Kwenda Kenya sababu nahisi kifaa changu kinakutu.
 
Ms Judith ukimpata babu atayekusheheni vilivyo utaacha mbachao kwa msala upitao?

mpendwa Ruta,

huyo babu kama ni mume, basi hakuna tatizo. akinisheheni "vilivyo" kwa mujibu wa maelezo yako, tutasema kwa pamoja "Glory to God" na sioni kwa nini niache mbachao kwa msaala upitao! siioni sababu kwa kweli.

kutoshelezwa haja ya ashiki ya mwili ni suala la kibinadamu na sioni "umaalum" wake. ni suala la kawaida kama ilivyo kula au kukaa kitini. acheni kuyatukuza mambo ya kawaida. call a spade by its name and it will be a spade for the rest of its life!

ubarikiwe,

Glory to God!
 
Kabibi kaho Ruta kana pepo inabidi kaombewe,miaka sabini bado kanahitaji mtama!!!!!

Losambo hata wanawe wamemkimbia kwa kuona aibu ya vurugu zake nakubalina nawe kuwa pengine ana pepo mahaba...........na maombi ndiyo muarobaini wake
 
Last edited by a moderator:

Ms Judith you sound very wise and i feel am blessed already through your concerted prayers towards....me..............my cup is runs over from now onwards till the end of the ages................
 
Last edited by a moderator:
Huyo Mzee anaelekea akufaidi Ujana wake ndio sababu ya kutushumbua Misheni zetu.
Hata hivyo natakakufanya safari ya Kwenda Kenya sababu nahisi kifaa changu kinakutu.

elly_black kwa hiyo washauri ujana utumike ipasavyo kuepuka balaa za kuchangamkia ujana uzeeni?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…