Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
- Thread starter
-
- #21
si kimeumbwa kitumike na hakuna expiry date so sioni tatizo bb enjoy mitama
si kimeumbwa kitumike na hakuna expiry date so sioni tatizo bb enjoy mitama
Ms Judith you sound very wise and i feel am blessed already through your concerted prayers towards....me..............my cup is runs over from now onwards till the end of the ages................
elly_black kwa hiyo washauri ujana utumike ipasavyo kuepuka balaa za kuchangamkia ujana uzeeni?
Sijui ndio ninazeeka na hizi lugha za siku hizi au vipi! Mimi ninafahamu kumpiga mtu mtama maana yake ni kumuangusha kwa kumtegua miguu na mara nyingi huambatana na ugomvi. Sasa kuiona inaambatana na ashki za huyo ajuza....imenichanganya.huyu bibi kule Kenya anapenda vijana wadogo wadogo wa kiume wampige mtama wa uhakika na huwalipa vizuri sana kama kazi yao imemridhisha
Hivi GAZETI ukimpata Bi Kizee wa kukumwagia minoti utampapatikia au utainiga mitini?
[MENTION]kwa kweli habari ndio hiyo!dah siamini nilichokiona na kusoma, hii ndio dunia bwana, haya Ruba tupe la moyoni!
Kweli ukistaajabu ya Musa utaona ya.......
Ruta, human behaviour can not be predicted so easily. Hakuna anayeweza kujua atafanyaje atakapomkamata ugoni mkewe/mumewe. Huo ni mfano mmoja tu.
Kuna watz wengi ambao ugumu wa maisha unawafanya waamini ni bora wangezaliwa Mbwa au paka Europe and Japan kuliko kula msoto Tanzania. Kuna wanaume wengi tu wanalaani kwa nini hawakuzaliwa wanawake ili wapate favors na maraha ambayo baadhi ya wanawake wana enjoy! Wewe na mimi tunaweza kusema hivyo? Hata siku moja.
Nadhani hadi hapo umenipata!
Ila niokoe kwenye makombola ya akina Lizzy!!!!!
FirstLady1............................malizia utaona ya bi kizee siyo yale ya...................