Bibi wa miaka karibu 70 anapolilia apigwe mtama!!


MAMMAMIA tafsiri yako ni sahihi lakinilugha ni matumizi yake na huweza kuunda tungo tata kama hii...wafikiri kazi ya kitandani ni lelemama....................ni ugomvi mkali hujitokeza kuonyeshana utaalamu na maufundi kibao.............hata kijasho kuwamiminika na wengineo hata kudai maji ya kunywa............
 
Last edited by a moderator:
Hakuna tofauti na sodoma na gomora.

bampami......Sodoma na gomora mbona wana unafuu? Siye tumezidisha kipimo............
 
Last edited by a moderator:
Dunia imeisha! Kwani babu alishafariki???

Pakawa kumbe story hujaipata Bi Kizee hahitaji wazee wenzie kwani anaona ni mrenda yeye anataka ama-stallions tu...........babu kama alikuwepo alikwisha kupigwa kibuti siku nyingi sana..........
 
Last edited by a moderator:

Huyo bibi atakuwa na kipele,70yrs akikutana na mtu kama miye si anaweza akazimikia kifuani!
 
haha, mpendwa Ruta,

hujalala bado??

mimi ni mjakazi wa Bwana na nitendewe kama ulivyosema!!

haleluyah!!

ubarikiwe sana mpendwa,

Glory to God!

Nilale wapi nami nakusubiria wewe Ms Judith utamke neno
 
Last edited by a moderator:
I dont care Ruta.,all what I want ni kumpiga mtama tu.

[MENTION]M_BongoTZ[/MENTION] I fear for your dear life..right now........
 
Pamoja na kuwa na pepo wa ngono, katika umri kama huo mashine zao huwa kama za bikra! (usiniulize mambo ya utafiti!)
 

Mkuu hapa mjini wapo ila wengi wao hawana mawe, Mie nashauri ukitokewa na ishu kama hiyo ww kimbia.
 
Nadhani kunajinsi alitumia utaalamu wa ki-China sasa unamsumbua!

Mkuu wanasema hainaga {makombo} sasa ukiongezea na mshiko mitama atapigwa mingi!.
Acha utani hiyo ni kazi na inalipa mara mbili kwanini mtu usifanye? tena kwa kujituma sana tu.
 
Natema bigjii kwa karanga za kuonjeshwa ruta

nivea kwa kisa kipi hata sijakupatia zote kikabisakabisa...............lol
 
Last edited by a moderator:
aendelee kupelekewa moto wa vijana mwisho wa siku atafia kifuani

Blaki Womani................hajakutana na mtaalamu wa kumfikisha asikotaka kufikishwa..............lol
 
Last edited by a moderator:
Nadhani kunajinsi alitumia utaalamu wa ki-China sasa unamsumbua!

Mkuu wanasema hainaga {makombo} sasa ukiongezea na mshiko mitama atapigwa mingi!.
Acha utani hiyo ni kazi na inalipa mara mbili kwanini mtu usifanye? tena kwa kujituma sana tu.

Kyaiyembe tatizo ni siku atakapokumwaga hapo ndipo kilio na kusaga meno.............wanasema haachi kunogeewa lakini vilevile haachi kukinai..................yako mbaya hapo!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hapa mjini wapo ila wengi wao hawana mawe, Mie nashauri ukitokewa na ishu kama hiyo ww kimbia.

Biohazard huyo bibie ni balaa bora nusu ya shari kulikoni hili shari kamili...........
 
Last edited by a moderator:
Pamoja na kuwa na pepo wa ngono, katika umri kama huo mashine zao huwa kama za bikra! (usiniulize mambo ya utafiti!)

Sometimes, Sometimes.......niambie kuwa wewe mwenyewe ndiye source......................mvua kama zilikunyeshea lazima utazisifia tu.....lakini mie huo umri God forbids now and forever...............if you can do with her next time what is to stop you from banging your own mom?
 
Last edited by a moderator:
sio rahisi kufikishwa sababu hapendwi mtu pochi

Blaki Womani pengine ndiyo maana anwabadilisha mara kwa mara akitafuta wakumfikisha na hapatikani kwa sababu vijana wanafukuzia chapaaa na hawana muda wa kumburudisha Bi Kizee..........
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…