Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,229
- 13,442
Blaki Womani pengine ndiyo maana anwabadilisha mara kwa mara akitafuta wakumfikisha na hapatikani kwa sababu vijana wanafukuzia chapaaa na hawana muda wa kumburudisha Bi Kizee..........
Sawa mkuu hiyo ni Private Sector! huwezi kukaa kizembe kama kwenye Public sector! mahesabu na mipango muhimu!.Kyaiyembe tatizo ni siku atakapokumwaga hapo ndipo kilio na kusaga meno.............wanasema haachi kunogeewa lakini vilevile haachi kukinai..................yako mbaya hapo!
Sina hakika kama kuna utamu wowote hapo, aende zake na noti zake! Maana ukitoka kwake itakubidi siku nzima ushinde umelala kwa uchovu na kula chakula kingi ku-replace calories.sipendi kuwa mchoyo wa elimu kwa hiyo acha niwapashe khabari kidogo..........lakini huyu bibi kule Kenya anapenda vijana wadogo wadogo wa kiume wampige mtama wa uhakika na huwalipa vizuri sana kama kazi yao imemridhisha na baadaye huwakinai na kuwatimua. Yupo tayari kufunga biashara zake akipata huduma stahiki...................na wakati mwingine huwafungia ndani waathrika wake kwa kipindi hivi akipata huduma ya uhakika...........................hata alisababisha kijana mmoja amkimbie mkewe kwa kuona mgawo wa mipesa ya huyu bi kizee........................
nisiwamalizie utamu wenye kuujua umombo someni kwa furaha na wale ambao hawaujui basi ridhikeni na hii dibaji yangu...............
Amorous granny with a love for young studs
baada ya kusoma hivi ukipata kizee au bibi au babu na ana mipesa ya kumwaga je utafukuzia ugali au utachunga heshima yako hata kama ni kulala na njaa?
hebu mnjibu nami nitaweelezea kilichoko moyoni mwangu kama ningelikuwa nimebanwa na huyu Bi kizee...........
Rutashubanyuma What if your sister is the same age as yuor wife!.
wengine wanado huku wamefunga macho kumwangilia inaondoa ladha lol...
RutashubanyumaWhat if your sister is the same age as yuor wife!.
Sina hakika kama kuna utamu wowote hapo, aende zake na noti zake! Maana ukitoka kwake itakubidi siku nzima ushinde umelala kwa uchovu na kula chakula kingi ku-replace calories.
Sina hakika kama kuna utamu wowote hapo, aende zake na noti zake! Maana ukitoka kwake itakubidi siku nzima ushinde umelala kwa uchovu na kula chakula kingi ku-replace calories.
Sawa mkuu hiyo ni Private Sector! huwezi kukaa kizembe kama kwenye Public sector! mahesabu na mipango muhimu!.
Siku hizi mitaji ni migumu kupatikana ukimpata wa hivyo usiweke mizizi tafuta kianzio alafu sepa!.
Wengi mbona wametokea mlango huu, sema tunaangalia mafanikio tu. Lakini ufuatilia alikotokea mpoka alipo utaduwaa.
Umemsahau yule msanii aliyetoka na single ya "KAKUPENDA BIBI KIZEE, NAKUPENDA KIKONGWE"wengine wanado huku wamefunga macho kumwangilia inaondoa ladha lol...
Hivi miaka 70 perfomance bado inaeleweka Rutashubanyuma
FirstLady1 mpendwa, kibiolojia performance haitegemei umri bali "will and spirit". Mwaka jana ilifanyika arusi baina ya mwanamume (60 yrs) na mwanamke (85 yrs). Huyu ajuza ni ngangari kinoma, spirit yake ya ujana bado anayo na "anayaweza". Kama alivyoimba Bi. Kidude, Kung'oka meno si utuuzima, haja mashine iwe nzima.
View attachment 55042
[Juu]Bi Arusi (Cayetana) alipokuwa kijana.
[Chini] Bi Arusi siku ya arusi yake akiwa na miaka 85
View attachment 55043
Kyaiyembe Mkuu, kama nimemfahamu vizuri Ruta, yeye hapingi umri wala uwezo, anawauliza tu vijana wanaojipelekwa kwa bibi zao kwa tamaa ya pesa.Sasa Ruta unalakuongezea?
Rutashubanyuma Umewasikia hawa hapa walivyosema baada ya kuisoma ile article!
bobbysmiles30 May 2012 2:24 PMLet the grandma have a ball as long as it lasts. Enjoying sex is the only thing that counts in life. Everything else comes second. Go on Grandma go......enjoy to your fill.....those who retired and shoved their tools to shed should stop being envious.....
kim30 May 2012 10:48 AMWe all envy your healthy libido at that age mama. That is the sign of a healthy mind and body. Congratulations-----and I mean it!