Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
- Thread starter
-
- #81
[MENTION]duniani kuna mambo ya ajabu sana
huyo nikibatika kumpata nita mpiga mtama nje ndani
Kyaiyembe Mkuu, kama nimemfahamu vizuri Ruta, yeye hapingi umri wala uwezo, anawauliza tu vijana wanaojipelekwa kwa bibi zao kwa tamaa ya pesa.
Ninakubaliana na wewe hapo juu kuwa umri ni nambari tu, kuna vijana (Ke+Me) wanabwaga manyanga mapema na kuna vizee vinakufa mchi (Me) na mche (Ke) vimesimama, tafauti na ile dhana kuwa ukifika umri fulani unapaswa kutundika madaluga.
Umemsahau yule msanii aliyetoka na single ya "KAKUPENDA BIBI KIZEE, NAKUPENDA KIKONGWE"
kuna mistari mle ukiusikiliza vizuri ule wimbo utagundua kuwa hawafumbi macho mkuu!.
Mimi bwana hapana, niacheni tu nashida yangu. Nikifikiria tu ile migozi iliyozeeka (loose skin) over my body hamu ya kufanya nae mapenzi kwishney
rutashumbanyuma ma bro,kila kilichozaliwa hufa na kuoza.Bibi still alive kwanini asikitumie kitu yake ipasavyo untill she die.
Watatoa heshima kwa baba yao mlezi wa wakati huo!.ummu kulthum.....................sikatai akitumie lakini na watoto wake?
Ntemi Kazwile halahala.ukamfungia safari kule aliko....................lol