Bibi!!

Mkeshahoi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2009
Posts
2,469
Reaction score
284
Chukulia Bibi wa karibu miaka 100, anakula fegi, anakula mtungi na anangonoka bila shida.....!! anakamata tenda za kutosha kufunda wanawake wanaoolewa na wanawake wanohitaji kuimariasha ndoa zao....!!

Nilipomwona ktk luninga akielezea maisha yake... nilimpongeza(kimoyomoyo)kwani ni mtu ambaye ana furaha katika maisha yake!!! Ila penye bold hapo... nimejiuliza bila majibu nini siri ya mafanikio yake katika nyanja hiyo, kwa umri alionao..?!

mwamchukuliaje mtu wa aina hii?!Elimu plz!!:A S 39:
 
Usimseme vibaya Bi. Kidude, sijawahi kumsikia akijielezea kuwa anashiriki ngono.
Kwanza ni nani mwenye ujasiri wa kushiriki ngono na bibi yake?
 
Kwani huyo bibi ni Kidude? Ninachaamini ni majaliwa ya Mungu kuwa na nguvu kiasi hich kwa umri huo, lakini hata kujitunza kuna mchango ktk hali kama hiyo!
 
Sijataja jina hapa!!! nimejaribu shirikisha nilichokiona na kusikia!!!:smile-big: majibu mengine yako hayo!!
 
kama wamfahamu... haina shida.. mie nahitaji kuelimishwa nilichouliza... nahisi kinaweza kuwa na manufaa au sio mdau..:smile-big:!!
 
we ya huyo yanakuhusu nini?
Hicho ndo kipaji alichojaliwa na Maulana na wewe utakuwa na chako cha tofauti na wengine hujakijua tu.
Sasa ck ukakuta tunakujadili utajisikiaje!!!?
 


Mimi naomba unifafanulie hapo kwenye "red"...! Ni zoezi gani hilo? Walioolewa na kupata zoezi hilo watuelimishe....! Nini kinafanyika hapa?
 
Mimi naomba unifafanulie hapo kwenye "red"...! Ni zoezi gani hilo? Walioolewa na kupata zoezi hilo watuelimishe....! Nini kinafanyika hapa?

kuelimisha kuhusu wajibu wa mtu katika maisha ya ndoa na mwenendo mzuri katika jamii(kama sijakosea)!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…